Home › Ringtones › Roho - Christina Shusho

Roho - Christina Shusho

free ringtone for iPhone & Android phones

@Ioana
1377
25 Sec

Roho - song lyrics

Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani yangu
Pamoja nawe nitashinda

Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashinda×2

Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu

Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu ×2

(Nina nguvu)nina nguvu ×3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salama×3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashinda×3
Pamoja nawe nitashindaa

Kama ardhi isiyo na maji inapasuka ndivyo Roho nakuhitaji fanya makao
Kwangu
Moyo wangu wakutamani
Nafsi yangu yaona kiu
Ee Roho kaa ndani yangu
Bila wewe siko salama

Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashinda×2
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu ×2

(Nina nguvu)nina nguvu ×3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salama×3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashinda×3
Pamoja nawe nitashindaa

Top 100 Toca Toca Ringtones
Top 100 Toca Boca Ringtones
Top 100 Fortnite Ringtones

Similar ringtones:

MORE...[+]
Top 100 Roblox Ringtones
Top 100 Call of Duty Ringtones
Top 100 Civilization VI Ringtones
Top 100 GTA5 Ringtones
Top 100 One Piece Ringtones

More ringtones from Christina Shusho:

20
@Nikola
807
Eh Bwana Naitaji macho ya roho Maana haya ya mwili Yameni danganya Iko njia yaonekana kuwa sawa machoni kwa mtu Lakini mwinsho wake Ni njia za mauti Neno lako linasema "Lincho langu likiwa safi, mwili wangu wote uta kuwa na nuru" Nipe macho Nipe macho nione Macho eh-eh-eh Nipe macho nione Sawa sawa Nipe macho nione Macho eh-eh-eh Nipe macho nione Sawa sawa (Nipe macho) Nipe macho nione (macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (macho ya roho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione Sawa sawa Saidie macho ya ndani Nione kama uonavyo Wewe Saidie macho ya ndani Nione mitego ya muovu Nimeku kimbilia Wew Bwana Ili nikaye salama Nipe macho nione Sawa sawa Mara nyingi watu utazama inje Lakini Wewe waona ndani Kwa inje mtu uonekana mwema Kumbi ndani ni atari Mwaka hu Bwana nataka nione Ili niikale salama Nipe macho nione Sawa sawa Yesu nipe macho Nipe macho nione (macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Baba nipe macho) Nipe macho nione (kama Batimayo) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa Yesu nipe macho Nipe macho nione (kama Geyazi) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (nipe macho) Nipe macho nione (Yesu nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho macho) Sawa sawa Nipe macho nione Kama alivio-ona Stefani Kati ka mazingira ma gumu Aka mu-ona Yesu amesimama mukono waku-ume wa Mungu Baba Nipe macho Ni muone muitaji Nipe macho nione unavio-ona Yesu Macho yangu yana-ona ni me vaha Kumbe waniona mutubu Mara najiona mtajiri Kumbe waniona masikini Mara ingine macho yananipa haki eh Kumbe waniona mkosaji Nipe mach nione Sawa Sawa Macho yangu yanaona nina nguvu Kumbe waniona mnyonge Tena najiona busara Kumbe waniona mginga Macho yangu yanaona yausuni Wewe una mwisho kabla ya mwanzo Nipe macho nione, nione nione Baba nipe macho Nipe macho nione (nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (oh Yesu nipe macho) Nipe macho nione (macho ya roho) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione Sawa sawa (nione wema wako) Nipe macho nione (nione matendo yako) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (macho) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (Baba nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (mmh) Sawa sawa Nipe macho-ooh Nipe macho-ooh Oh Baba nipe macho Nipe macho nione (oh nipe macho) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (mimi si oni) Macho eh-eh-eh (macho ya roho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Yesu nipe macho) Nipe macho nione (nione wema wako) Macho eh-eh-eh (oh nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (Baba nipe macho) Nipe macho nione (niwe salama) Macho eh-eh-eh (nipe macho) Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh) Sawa sawa (nipe macho) Nipe macho Macho ya roho
20
@Ghena
1,607
Ohh!! Damu ya Yesu Imenifanya ning'are Still alive! Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu ehh Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Wewe waitwa nuru Eti nuru ya watu Ukiingia kwangu mi nang'ara Ndani ya hiyo nuru Eti kuna uzima Ukiingia kwangu nina uzima Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu Umeingia kwangu mi nang'ara Nuru ya injili utukufu wake Kristo Umeingia kwangu mi nang'ara Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Inuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Inuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Halleluyah! Kumtumikia Mungu kuna faida! Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Yesu
30
@Monika
435
Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana Kijana Simama Simama, simama tumsifu Bwana Watu wote Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Ndugu yangu Uliyeketi Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Nasema nami nikate tamaa Naona kila kitu huwezi Kila jambo tena unalofikiri
30
@Agnieszka
466
Aleluya Yesu ni Bwana Nawala hana mpinzani, atatenda mambo Wataka akutende nini, akutende nini we Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we Mwambie(mwambie)
13
@Inga
850
Hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu Ngiza lilikuwa juu ya vilini vya maji Roho ya bwana ikatulia josho wa maji Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru Mungu akaiona nuru ya kuwani njema Mungu akaitenga nuru na ngiza Mungu akaiita nuru mchana giza usiku Mungu akasema na liwe anga, kati ya maji Likatenge maji na maji, mungu akaliita lile anga mbinguni Mungu akapaita pale pakavu nchi Makusanyiko ya maji akayaita bahari Nchi itoayo mbegu kwa jinsi yake Mti uzaao matunda na mbegu zimo ndani yake Mungu akanena kuwa ni vema Mungu akasema na iwe mianga Itenge kati ya mchana na usiku Iwe ndiyo dalili majira, siku na miaka Mungu akasema maji yajawe kwa wingi Ndege waruke juu ya nchi Mungu akaumba nyangumi wakubwa Akisema zaeni mkaongezeke Ndege wazidi katika nchi Mungu akasema nchi na izae kiumbe kwa jinsi yake Mungu akafanya mnyama wa mwitu na wa kufugwa Mungu akasema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu na kwa sura yetu Wakawatawale samaki wa baharini na ndege wa angani Wanyama na nchi yote pia na kila kitambaacho Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaumme na mwanamke Zamu yangu, nakungoja useme Na Mungu akaona kila alichofanya na atazama, ni njema Bado nakungoja Kila alichosema kikatokea akaona ni njema Bado nakungoja Nami nakungoja, baba nakungoja, useme na moyo Bado nakungoja Ukisema na moyo, natiwa nguvu, nasonga mbele kwa kazi yako Bado nakungoja Sema na kanisa, sema na watu wako baba Bado nakungoja Ukisema leo wagonjwa watapona, ukisema leo matasa watazaa Bado nakungoja Ukisema leo viziwi wasikia, ukisema leo vipofu wataona Bado nakungoja Ukisema leo viwete watembee, ukisema leo mabubu watasema Bado nakungoja Sema na nchi, sema na viongozi, sema na taifa Bado nakungoja Ukisema leo hakuna vita, ukisema leo hakuna magonvi Bado nakungoja Ee bwana kwako wanakuja wote, kila mmoja kwa shida yake Bado nakungoja Wawafanya maskini wawe navyo nao wajitegemee Bado nakungoja Nimetambua kwamba unayo mengi niyaombayo kwako ni machache Bado nakungoja Bado nakingoja unifute machozi, nakungoja unipe mwedo mpya Bado nakungoja Mimi nakungoja utimize ahadi, nakungoja bwana nakungoja Bado nakungoja Baba nakungoja ujibu maombi nakungoja bwana nakungoja Bado nakungoja Baba nakungoja uponye wagonjwa wetu nakungoja baba nakungoja Bado nakungoja Bwana nakungoja uwape matasa watoto, nakungoja Bado nakungoja Mungu, wewe husemi neno kwa kuwa lina ukweli, bali neno lako ni kweli
30
@Melania
122
Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee
MORE...[+]

Set Roho ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Roho ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.