Home › Ringtones › Bado Nakungoja - Christina Shusho

Bado Nakungoja - Christina Shusho

free ringtone for iPhone & Android phones

@Inga
850
13 Sec

Bado Nakungoja - song lyrics

Hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi
Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu
Ngiza lilikuwa juu ya vilini vya maji
Roho ya bwana ikatulia josho wa maji
Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru
Mungu akaiona nuru ya kuwani njema
Mungu akaitenga nuru na ngiza
Mungu akaiita nuru mchana giza usiku
Mungu akasema na liwe anga, kati ya maji
Likatenge maji na maji, mungu akaliita lile anga mbinguni
Mungu akapaita pale pakavu nchi
Makusanyiko ya maji akayaita bahari
Nchi itoayo mbegu kwa jinsi yake
Mti uzaao matunda na mbegu zimo ndani yake
Mungu akanena kuwa ni vema

Mungu akasema na iwe mianga
Itenge kati ya mchana na usiku
Iwe ndiyo dalili majira, siku na miaka
Mungu akasema maji yajawe kwa wingi
Ndege waruke juu ya nchi
Mungu akaumba nyangumi wakubwa
Akisema zaeni mkaongezeke
Ndege wazidi katika nchi
Mungu akasema nchi na izae kiumbe kwa jinsi yake
Mungu akafanya mnyama wa mwitu na wa kufugwa
Mungu akasema na tumfanye mtu
Kwa mfano wetu na kwa sura yetu
Wakawatawale samaki wa baharini na ndege wa angani
Wanyama na nchi yote pia na kila kitambaacho
Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaumme na mwanamke

Zamu yangu, nakungoja useme
Na
Mungu akaona kila alichofanya na atazama, ni njema
Bado nakungoja
Kila alichosema kikatokea akaona ni njema
Bado nakungoja
Nami nakungoja, baba nakungoja, useme na moyo
Bado nakungoja
Ukisema na moyo, natiwa nguvu, nasonga mbele kwa kazi yako
Bado nakungoja
Sema na kanisa, sema na watu wako baba
Bado nakungoja
Ukisema leo wagonjwa watapona, ukisema leo matasa watazaa
Bado nakungoja
Ukisema leo viziwi wasikia, ukisema leo vipofu wataona
Bado nakungoja
Ukisema leo viwete watembee, ukisema leo mabubu watasema
Bado nakungoja
Sema na nchi, sema na viongozi, sema na taifa
Bado nakungoja
Ukisema leo hakuna vita, ukisema leo hakuna magonvi
Bado nakungoja
Ee bwana kwako wanakuja wote, kila mmoja kwa shida yake
Bado nakungoja
Wawafanya maskini wawe navyo nao wajitegemee
Bado nakungoja
Nimetambua kwamba unayo mengi niyaombayo kwako ni machache
Bado nakungoja
Bado nakingoja unifute machozi, nakungoja unipe mwedo mpya
Bado nakungoja
Mimi nakungoja utimize ahadi, nakungoja bwana nakungoja
Bado nakungoja
Baba nakungoja ujibu maombi nakungoja bwana nakungoja
Bado nakungoja
Baba nakungoja uponye wagonjwa wetu nakungoja baba nakungoja
Bado nakungoja
Bwana nakungoja uwape matasa watoto, nakungoja
Bado nakungoja
Mungu, wewe husemi neno kwa kuwa lina ukweli, bali neno lako ni kweli

Top 100 Battlefield 5 Ringtones
Top 100 League of Legends Ringtones
Top 100 One Piece Ringtones

Similar ringtones:

MORE...[+]
Top 100 Attack on Titan Ringtones
Top 100 Black Desert Ringtones
Top 100 Fortnite Ringtones
Top 100 Bollywood Ringtones
Top 100 GTA5 Ringtones

More ringtones from Christina Shusho:

30
@Monika
435
Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana Kijana Simama Simama, simama tumsifu Bwana Watu wote Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Ndugu yangu Uliyeketi Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Nasema nami nikate tamaa Naona kila kitu huwezi Kila jambo tena unalofikiri
30
@Agnieszka
466
Aleluya Yesu ni Bwana Nawala hana mpinzani, atatenda mambo Wataka akutende nini, akutende nini we Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we Mwambie(mwambie)
30
@Melania
122
Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee
25
@Julita
1649
Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi
MORE...[+]

Set Bado Nakungoja ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Bado Nakungoja ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.