Home › Ringtones › Nitayainua Macho - Christina Shusho

Nitayainua Macho - Christina Shusho

free ringtone for iPhone & Android phones

@Apolonia
116
29 Sec

Nitayainua Macho - song lyrics

Nitayainua macho yangu juu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana
Majeshi yajapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana najua husinzi wala hutalala Bwana wangu utanipigania 2

Eeh Bwana nimeungojea wokovu wako na maagizo yako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako maana njia zangu zi mbele zako

Bwana kilio changu yakikukaribia unifahamishe sawa na neno lako
Dua yangu na ifike mbele zako uniponye sawa na ahadi zako
Midomo yangu na itoe sifa kwako ulimi wangu uimbe ahadi zako
Nafsi yangu na iishi ipate kukusifu hukumu zako zinisaidie 2
Eeh bwana... 2

Top 100 Overwatch Ringtones
Top 100 Toca Boca Ringtones
Top 100 Among Us Ringtones

Similar ringtones:

30
@Arlo
1581
That's underground And fly Macho Macho I don't like your style Macho Macho You'll be floatin' on the river Nile Macho Macho So get down on your knees and pray Macho Macho I'm gonna blow your Macho Macho mind away, away And the boys are singin' Na - na - na - na - na Hip, hip Na - na - na - na - na So listen I heard a story the other day And I've been wonderin' what they got to say They said you took ma lady for a ride They said it lasted to the morning light So listen I am not a violent boy But you touched my lady and she's my Favourite toy And you're Macho Macho Fade out The boys don't sing anymore
20
@Zeynep
340
Da-di-da-di-da-di-daDa-di-da-di-da-da-da Da-di-da-di-da-di-da Falco, Falco, Falco, yeah Falco, Falco, Falco, RIO Baby, ja, du weißt, ich werd' mal ganz, ganz groß Shows von Wien bis Prag und auch in Tokyo Keine Zeit für Haters oder Interviews Jeden Tag im Nightlife ohne Tabus Nenn mich den König der 80sSeh' nur schwarz, doch neuer Mercedes Ohh, genug Para in der Bank, bin sorgenlos Oh, Macho, MachoOh, Jeanny, Falco Macho, MachoI don't like your style Macho Macho You'll be floatin' on the river Nile Macho Macho So get down on your knees and pray Macho Macho I'm gonna blow your Macho Macho mind away Von der Kleinstadt in den Großstadtdschungel (Großstadtdschungel)Täglich im Nightlife bis zu später Stunde (später Stunde) Egal, was kommt, ja, Mami bleibt stolz auf ihr'n Jungen (yeah)Sie sing'n die Lieder von Deutschland bis Dom Rep, KolumbienYo, Immer noch beliebt bei den LadysYo, spiel' jeden Tag, doch der Glückswert lowJibbit in der Fresse mit Amnezia [?] Flieg' durch die Nacht mit erhöhtem IQKing of the 80s wie Falco Eigentlich smooth, Doch heute MachoNiño a malo, immer loco, ja, oh, nana Baby, ja, du weißt, ich werd' mal ganz, ganz großShows von Wien bis Prag und auch in TokyoKeine Zeit für Haters oder Interviews Jeden Tag im Nightlife ohne Tabus Nenn mich den König der 80sSeh' nur schwarz, Doch neuer MercedesOhh, genug Para in der Bank, bin sorgenlos Oh, Macho, Macho Oh, Jeanny, Falco Macho, Macho I don't like your style Macho Macho You'll be floatin' on the river Nile Macho Macho So get down on your knees and pray Macho Macho I'm gonna blow your Macho Macho mind away Von Stadt zu Stadt Oh-ja, von Ort zu Ort Reise durch die Welt, mir genügen Chicks und BongOh-ja, Private-Jet, danach WassersportI Llegale Gedanken, Doch keine Cops vor OrtEin Leben, oh-ja, eine Chance (eine Chance) Noch so viel zu seh'n, Deshalb täglich in Trance (yeah)Überm Gesetz, jaja, o Hne BalanceDoch Baby, ich will mehr, ich will mehr, ja Baby, ja, du weißt, ich werd' mal ganz, Ganz großShows von Wien bis Prag und auch in TokyoKeine Zeit für Haters oder InterviewsJeden Tag im Nightlife ohne TabusNenn mich den König der 80sSeh' nur Schwarz, doch neuer MercedesOhh, Genug Para in der Bank, bin sorgenlos Oh, Macho, Macho Oh, Jeanny, Falco Macho, Macho I don't like your style Macho Macho You'll be floatin' on the river Nile Macho Macho So get down on your knees and pray Macho Macho I'm gonna blow your Macho Macho mind away Macho Macho A-away Macho Macho And the boys are singin' Macho Macho Hip, hip Macho Macho.
MORE...[+]
Top 100 PUBG Ringtones
Top 100 Game Bgm Ringtones
Top 100 Roblox Ringtones
Top 100 Attack on Titan Ringtones
Top 100 Free Fire Ringtones

More ringtones from Christina Shusho:

30
@Monika
435
Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana Kijana Simama Simama, simama tumsifu Bwana Watu wote Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Ndugu yangu Uliyeketi Simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama tumsifu Bwana Nasema nami nikate tamaa Naona kila kitu huwezi Kila jambo tena unalofikiri
30
@Agnieszka
466
Aleluya Yesu ni Bwana Nawala hana mpinzani, atatenda mambo Wataka akutende nini, akutende nini we Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we Mwambie(mwambie)
13
@Inga
850
Hapo mwanzo mungu aliziumba mbingu na nchi Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu Ngiza lilikuwa juu ya vilini vya maji Roho ya bwana ikatulia josho wa maji Mungu akasema iwe nuru ikawa nuru Mungu akaiona nuru ya kuwani njema Mungu akaitenga nuru na ngiza Mungu akaiita nuru mchana giza usiku Mungu akasema na liwe anga, kati ya maji Likatenge maji na maji, mungu akaliita lile anga mbinguni Mungu akapaita pale pakavu nchi Makusanyiko ya maji akayaita bahari Nchi itoayo mbegu kwa jinsi yake Mti uzaao matunda na mbegu zimo ndani yake Mungu akanena kuwa ni vema Mungu akasema na iwe mianga Itenge kati ya mchana na usiku Iwe ndiyo dalili majira, siku na miaka Mungu akasema maji yajawe kwa wingi Ndege waruke juu ya nchi Mungu akaumba nyangumi wakubwa Akisema zaeni mkaongezeke Ndege wazidi katika nchi Mungu akasema nchi na izae kiumbe kwa jinsi yake Mungu akafanya mnyama wa mwitu na wa kufugwa Mungu akasema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu na kwa sura yetu Wakawatawale samaki wa baharini na ndege wa angani Wanyama na nchi yote pia na kila kitambaacho Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaumme na mwanamke Zamu yangu, nakungoja useme Na Mungu akaona kila alichofanya na atazama, ni njema Bado nakungoja Kila alichosema kikatokea akaona ni njema Bado nakungoja Nami nakungoja, baba nakungoja, useme na moyo Bado nakungoja Ukisema na moyo, natiwa nguvu, nasonga mbele kwa kazi yako Bado nakungoja Sema na kanisa, sema na watu wako baba Bado nakungoja Ukisema leo wagonjwa watapona, ukisema leo matasa watazaa Bado nakungoja Ukisema leo viziwi wasikia, ukisema leo vipofu wataona Bado nakungoja Ukisema leo viwete watembee, ukisema leo mabubu watasema Bado nakungoja Sema na nchi, sema na viongozi, sema na taifa Bado nakungoja Ukisema leo hakuna vita, ukisema leo hakuna magonvi Bado nakungoja Ee bwana kwako wanakuja wote, kila mmoja kwa shida yake Bado nakungoja Wawafanya maskini wawe navyo nao wajitegemee Bado nakungoja Nimetambua kwamba unayo mengi niyaombayo kwako ni machache Bado nakungoja Bado nakingoja unifute machozi, nakungoja unipe mwedo mpya Bado nakungoja Mimi nakungoja utimize ahadi, nakungoja bwana nakungoja Bado nakungoja Baba nakungoja ujibu maombi nakungoja bwana nakungoja Bado nakungoja Baba nakungoja uponye wagonjwa wetu nakungoja baba nakungoja Bado nakungoja Bwana nakungoja uwape matasa watoto, nakungoja Bado nakungoja Mungu, wewe husemi neno kwa kuwa lina ukweli, bali neno lako ni kweli
30
@Melania
122
Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee
25
@Julita
1649
Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unaweza Unaweza Unaweza eeh Mokozi Unaweza eeh Mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unatoka unatoka Unatosha eeh Mokozi Unatosha eeh mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu unanguvu Unanguvu eeh Mokozi Unanguvu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu mwaminifu Mwaminifu eeh Mokozi Mwaminifu eeh Mokozi
MORE...[+]

Set Nitayainua Macho ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Nitayainua Macho ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.