Home › Ringtones › Silaha - Ukweli & KASHA

Silaha - Ukweli & KASHA

free ringtone for iPhone & Android phones

@Natsuki
1241
20 Sec

Silaha - song lyrics

Niwe vipi
Nishatubu, nishasulubiwa
Imebidi nihesabu subira
Imezidi, najitolea najikwaa
Jikwa Jikwa 'jikwa 'jikwa

Oh niwe vipi
Niwe mtupu, niwe bila
Imebidi niwe mkavu kila kila
Imezidi, najitolea najikwaa
'Jikwa 'jikwa'jikwa 'jikwa

Hasira hasira hasara
Niwe mpole,
Niwe yaani kama mi nina mabawa
Astaghfirullah
Ya ni' na usipopigana
Utajipata we nd'o una jeraha
Jeraha jeraha jeraha

Hasira-hasira hasara
Hasi-hasira ni silaha
Hasira hasara
Hasih-asira ni silaha silaha

Tiki tiki bomu
Mawingu radi na homu
Na sina hata ngao
(Ohh)
Maisha ina maovu
Mishale tu na makovu
Ugomvi nd'o makao

Kusema ukweli
Amani ilienda na meli
(Ilienda na meli)
Kusema ukweli
Amani ilienda na meli
Kusema ukweli
Amani ilienda na meli
Kusema ukweli
Amani ilienda na meli

Hasira hasira hasara
Niwe mpole,
Niwe yaani kama mi nina mabawa
Astaghfirullah
Ya ni' na usipopigana
Utajipata we nd'o una jeraha
Jeraha jeraha jeraha

Hasira hasira hasara
Hasi-hasira ni silaha
Silaha
Hasira hasira hasara
Hasi-hasira ni silaha
Silaha, silaha

Top 100 Battlefield 5 Ringtones
Top 100 Free Fire Ringtones
Top 100 League of Legends Ringtones

Similar ringtones:

30
@Agnieszka
0
كمت بالكلشي ماكو اعثر بحيث بمحبس اتوزر النمله تشيلني وتفتر بخيط العنكبوت انجر لو طكني الهوى اتفطر الماي ايكضني واطشر ورده وكاظني ابن البر چني الحلف بلعباس والعباس بي شور سنين اطيح من افتر اجر النفس واتهطر عليه الابره تتكدر النار تجيسني وتحتر الجامع شافني وكبر الكطن لو جاسني اتعور اكض السبحه واني افتر عليل وحالتي تقهر چني الحلف بلعباس والعباس بي شور تراب من الجفن كبر وجهي نكلب لونه اصفر بياض العين صار احمر كبر جرحي وبديت اصغر اصغر لحد ما يكبر جامه مجاوره المرمر شيخ وببنه يتعير چني الحلف بلعباس والعباس بي شور
MORE...[+]
Top 100 Fortnite Ringtones
Top 100 Civilization VI Ringtones
Top 100 PUBG Ringtones
Top 100 Minecraft Ringtones
Top 100 Toca Boca Ringtones

More ringtones from Ukweli & KASHA:

MORE...[+]

Set Silaha ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Silaha ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.