Home › Ringtones › Lala Magufuli - Centano

Lala Magufuli - Centano

free ringtone for iPhone & Android phones

@Ayaka
561
30 Sec
Top 100 World of Warcraft Ringtones
Top 100 Overwatch Ringtones
Top 100 League of Legends Ringtones

Similar ringtones:

30
@Astrid
1,424
Mmmmh I wish ningemwona Magufuli Nipige magoti Nimpongeze hadharani Yaani Rais wa muungano wa Jamhuri Mchapakazi hachoki Anaye pinga nani? Mmmh, Ametuvusha vikwazo Wewe nami ona nchi anavyoijenga Flyover sa tunazo, daraja kigamboni Airport imesha jengwa Acha nikupongeze Kwa Air Tanzania (Ielewe) Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (Ielewe) Standard gauge tuteleze Kusafiri unasinzia (Ielewe) Acheni tu niwaeleze Magufuli papa nia (Ielewe) Oooh dady Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) Magu muacheni (Kwangwaru) Oooh daddy Asa Cheza nikuone (Kwangwaru) Jembe toka chato (Kwangwaru) Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) Aga, mpole mtu wa dini Hajachoka tunashukuru Amesamehe mara sabini Papi Kocha sa yuko huru Wa-Tanzania tupewe nini? Vilokufa yeye kavifufua Karudisha nidhamu serekalini Ukileta njanja anatumbua EEh! Sekta ya madini Umeme maji kero zimepungua (Asa wee) Elimu bure vijijini Watoto shule wanabukua (Asa wee) Ifikapo elfu mbili na ishirini Kura yangu chukua (Asa wee) Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (Asa wee) Dar es Salaam mwendo kasi Vituo vya afya kila kata (Ielewe) Machinga tunachapa kazi Tena huru bila shaka (Ielewe) Borigi utani ameongeza Uchumi uweze panda (Ielewe) Serekali Dodoma inapendeza Tanzania ya viwanda (Ielewe) Oooh daddy Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) Magu muacheni (Kwangwaru) Oooh daddy Asa cheza nikuone (Kwangwaru) Jembe toka chato (Kwangwaru) Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) Asa wote wa-Tanzania Tusimame imara (Imara imara) Yaani wote Tanzania Imara Tanzania tusonge mbele John Pombe Magufuli Simama imara (Imara imara) Yaani wote tusonge mbele Imara Tanzania tusonge mbele Oooh mama Samia Suluhu Basi simama imara (Imara imara) Kwa pamoja tusonge mbele Imara Tanzania tusonge mbele Baba Kassim Majaliwa Simama imara (Imara imara) Kwa pamoja tusonge mbele Imara Tanzania tusonge mbele Wasafi Records
30
@Thandolwethu
1343
Jembe Jembe Jembe Jembe Jembe Jembe Tanzania ya leo inapendeza Sababu ya Magufuli Nidhamu kwa watumishi wa umma Twahudumiwa vizuri Rushwa imekomeshwa sio kama zamani Siku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamani Fikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leo Asilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma Mikopo isio na tija na miradi feki amekoma Alisema imekuwa sirikali sasa ipo Dodoma Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke Corona Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio! Standard gauge je? Ndio Hospitali na zahanati? Ndio Shule bure kwa wanafunzi? Ndio Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu Linalima, linalima linalima Taifa nzima linamuombea mema Magufuli Wakulima kawapigania walipwe vizuri Wamachinga, wanampenda Madereva, Wanampenda Mama ntilie, wanampenda Hadi watoto, wanampenda Kina mama, wanampenda Vijana na wazee, wanampenda Hadi hadi wapinzani, wanampenda Japo wanavunga, wanampenda Haya maji na umeme hadi vijijini, Ndio! Nidhamu serikalini, Ndio Mambo nimetukwa toka juu hakuna, Ndio Ndege kama zote, Ndio Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu Linalima, linalima linalima Haya twende Pasha, pasha Pasha, pasha pasha Kina mama pasha, pasha Pasha mikono pasha Kina baba pasha, pasha Pasha pasha pasha Twendee Magufuli, choma Mama Samia, choma Kassim Majaliwa, choma Hadi mangula, choma Haya twende pole pole, piga makofi Mashiruali piga makofi Dr Sheni piga makofi Wigulu Chemba piga makofi Makonda mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Kibakwala mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Mavunde mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Tatulia mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wote Peperusha bendera, aah bendera, wabunge wote Peperusha bendera, aah bendera, kina mama wote Peperusha bendera, aah bendera, CCM Peperusha bendera, aah bendera
30
@Izabella
1105
(It's S2kizzy beiby) (Ayolizer) Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Majaliwa baba lao (Baba lao) Bashiru baba lao (Baba lao) CCM chama lao Kona kwa kona, chocho tuchocho Kwa wakubwa mpaka watoto Magu anazidi pamba moto Wapinzani matumbo joto Mmechoka eti? (Aaah wapi) Mnataka lala? (Aaah wapi) Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi) Wataweza huu muziki? (Aaah wapi) Sasa twende kisa mjini sambamba Magu anazidi bamba Anafufua na viwanda Ndege zetu tunapanda Wataweza kweli? (Aaah wapi) Kushindana nasi (Aaah wapi) Hata wakiungana (Aaah wapi) Matusi kututukana (Aaah wapi) Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Olepole baba lao (Baba lao) Mzee Mangula baba lao (Baba lao) CCM chama lao Majib Selema Hadija Selema (Selema) Wananchi wamesema Tunashinda tena (Eeh tena) Wanadhani kura mseleleko Eeeh tunawakwepa Watabaki masononeko Eeeh tunawacheka Kwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju) Nikupe mikakati (Eeh mikakati) Ameleta mwendo kasi Barabara juu na kati Eeh shule za kata (Ni bure) Sekondari (Ni bure) Hospitali (Ni bure) Kwa wazee (Ni bure) Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magu anashinda tena Magu Magu anashinda tena eeh Samia anashinda tena Mama Samia anashinda tena Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Makonda baba lao (Mama lao) Eri James baba lao (Baba lao) Juma Mabogi baba lao (Baba lao) CCM chama lao Mzuka ukipanda Na hili shati navua (Acha uongo) Mzuka ukipanda Na hili bukta navua(Acha uongo) Jamani navua (Acha uongo) Mama navua (Acha uongo) Mwenzenu navua (Acha uongo) Eeeh kuna basata! Basi napiga Yope (Huwezi) Oooh napiga Yope (Huwezi) Magu napiga Yope (Huwezi) Ma Samia napiga Yope (Huwezi) Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh! Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh! Wabunge napiga Yope (Huwezi) Madiwani napiga Yope (Huwezi) Wajumbe napiga Yope (Huwezi) Wenyekiti napiga Yope (Huwezi) Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh! Eeeeeh! Eh! Eh! Eh! Eh Eh! Eeeh!
MORE...[+]
Top 100 Fortnite Ringtones
Top 100 Bollywood Ringtones
Top 100 Attack on Titan Ringtones
Top 100 Roblox Ringtones
Top 100 Naruto Ringtones

More ringtones from Centano:

MORE...[+]

Set Lala Magufuli ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Lala Magufuli ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.