Home › Ringtones › Kesho Kutwa - Ethan Muziki

Kesho Kutwa - Ethan Muziki

free ringtone for iPhone & Android phones

@Lilla
293
30 Sec

Kesho Kutwa - song lyrics

Kwangu Kujua na kukua,
Ni lengo la kila kukisha tua
Hivyo hata ukinizungusha
Sioni shida, Utanifundisha
Wakaribu wanatambua
Saa zingine maneno hunisumbua
Huwa yanikataa
Huwa yanihadaa

Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana

Wewe unanijua, gizani umenitoa
Sikudhani ningetoboa
Ni Mara ngapi nilikwama?
Ni Mara ngapi? Umechagua niwe na we'!
Na siwezi ngoja kwenda kwenye goti,
Nikuvishe pete dunia i-notice

Vile ninapaa, ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana

Ooh, I promise to love you
You inspire me
You...

Oh yes, oh yes, oh yes!
We've given love a chance
Niwe na we', na we'!
(Love is always in us)

Sometimes we fall in love,
Love is always in us
Sometimes we fall in love
Love is always in us.

Hata Kesho Kutwa,
Na Usiku... Na usiku
Kesho, kesho, kesho!
Na usiku,
Tutapenda.

Top 100 Black Desert Ringtones
Top 100 Bollywood Ringtones
Top 100 World of Warcraft Ringtones

Similar ringtones:

MORE...[+]
Top 100 Naruto Ringtones
Top 100 One Piece Ringtones
Top 100 Attack on Titan Ringtones
Top 100 Free Fire Ringtones
Top 100 Toca Toca Ringtones

More ringtones from Ethan Muziki:

30
@Kristin
391
They said in my pockets are only coins and Broken dreams but it's alright It doesn't matter what they say Wataongea anyway any day You and I both know the things I can't afford But I can't afford to lose you It's so hard to find Mdem hawezi mind Saa zile hatuna kitu Tuna spend some Quality time It's so hard to find Mdem hawezi mind Saa zile hatuna kitu Tuna spend some Quality time And it's alright You are my woman The words to my lugha Sweet matunda You are my woman The words to my lugha Sweet matunda Me huskia poa Niki kupikia kadishi kapoa Na feel nikama tuko kwa ndoa Na hio ndio future nataka Baby keti hapa Acha me leo nipige dastaa You deserve a break You deserve to feel my love In every single way It's so hard to find Mdem hawezi mind Saa zile hatuna kitu Tuna spend some Quality time It's so hard to find Mdem hawezi mind Saa zile hatuna kitu Tuna spend some Quality time And it's alright You are my woman The words to my lugha Sweet matunda You are my woman The words to my lugha Sweet matunda You are my woman The words to my lugha Sweet matunda You are my woman The words to my lugha Sweet matunda
MORE...[+]

Set Kesho Kutwa ringtone on an Android Phone:

1. Select Download Ringtone button above.
2. Go to Settings app.
3. Select Sounds & Vibration.
4. Select Phone ringtone.
5. Select Ringtone from Internal Storage.
6. Click the Apply button.
So after only a few basic steps, you have successfully done the default ringtone on your phone running Android operating system with the pop songs you want.



Set Kesho Kutwa ringtone for your iPhone:

1. Select Download M4R for iPhone button above and save to your PC or Mac.
2. Connect your iPhone to your PC or Mac via its charging cable.
3. Launch iTunes and drag the .m4r to the Tones folder (Under "On My Device").
Hopefully, the guides for configuring ringtones for iPhones and Android phones will make it simple for you to replace the uninteresting default sounds on your phone with your own personal favorites.



Browse 5,000,000+ free ringtones by categories:

Thanks for letting us know
Your feedback is important in helping us keep the 1Ringtone community safe.
Close

X

#1 Ringtone App - top ringtones for free!

logo
Login with Google Login with Facebook

By joining, you agree to Terms of Service & Privacy Policy.

Upload a ringtone

You can upload MP3, WAV, M4A, OGG, M4R, ACC format files.

By selecting 'Upload' you are representing that this item is not obscene and does not otherwise violate Terms of Service, and that you own all copyrights to this item or have express permission from the copyright owner(s) to upload it.

Before uploading, please read our Privacy.